Native Bible

Psalms 130:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli kutoka dhambi zao zote.

Psalms 130:8 in English

Psalms 130:8 · Berean Standard Bible

And He will redeem Israel from all iniquity.

Context

6Nafsi yangu inamngojea Bwana kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi, naam, kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi. 7Ee Israeli, mtumaini Bwana, maana kwa Bwana kuna upendo usiokoma, na kwake kuna ukombozi kamili. 8Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli kutoka dhambi zao zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.