Zaburi 130:7
Psalms 130:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Israeli, mtumaini Bwana, maana kwa Bwana kuna upendo usiokoma, na kwake kuna ukombozi kamili.
Psalms 130:7 in English
Psalms 130:7 · Berean Standard Bible
O Israel, put your hope in the LORD, for with the LORD is loving devotion, and with Him is redemption in abundance.
Context
5Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea,
katika neno lake naweka tumaini langu. 6Nafsi yangu inamngojea Bwana
kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi,
naam, kuliko walinzi
waingojeavyo asubuhi. 7Ee Israeli, mtumaini Bwana,
maana kwa Bwana kuna upendo usiokoma,
na kwake kuna ukombozi kamili. 8Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli
kutoka dhambi zao zote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.