Native Bible

Psalms 130:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, sikia sauti yangu. Masikio yako na yawe masikivu kwa kilio changu unihurumie.

Psalms 130:2 in English

Psalms 130:2 · Berean Standard Bible

O Lord, hear my voice; let Your ears be attentive to my plea for mercy.

Context

1Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Bwana. 2Ee Bwana, sikia sauti yangu. Masikio yako na yawe masikivu kwa kilio changu unihurumie. 3Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama? 4Lakini kwako kuna msamaha, kwa hiyo wewe unaogopwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.