Native Bible

Psalms 130:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Bwana.

Psalms 130:1 in English

Psalms 130:1 · Berean Standard Bible

Out of the depths I cry to You, O LORD!

Context

1Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Bwana. 2Ee Bwana, sikia sauti yangu. Masikio yako na yawe masikivu kwa kilio changu unihurumie. 3Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.