Zaburi 119:83
Psalms 119:83 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi, bado sijasahau maagizo yako.
Psalms 119:83 in English
Psalms 119:83 · Berean Standard Bible
Though I am like a wineskin dried up by smoke, I do not forget Your statutes.
Context
81Nafsi yangu inazimia kwa kutamani wokovu wako,
lakini nimeweka tumaini langu katika neno lako. 82Macho yangu yamefifia, nikingoja ahadi yako;
ninasema, “Utanifajiri lini?” 83Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi,
bado sijasahau maagizo yako. 84Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini?
Ni lini utawaadhibu washtaki wangu? 85Wenye majivuno wananichimbia mashimo,
kinyume na sheria yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.