Zaburi 119:85
Psalms 119:85 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wenye majivuno wananichimbia mashimo, kinyume na sheria yako.
Psalms 119:85 in English
Psalms 119:85 · Berean Standard Bible
The arrogant have dug pits for me in violation of Your law.
Context
83Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi,
bado sijasahau maagizo yako. 84Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini?
Ni lini utawaadhibu washtaki wangu? 85Wenye majivuno wananichimbia mashimo,
kinyume na sheria yako. 86Amri zako zote ni za kuaminika;
unisaidie, kwa sababu watu wananishtaki bila sababu. 87Walikaribia kabisa kunifuta kutoka uso wa dunia,
lakini sijaacha mausia yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.