Native Bible

Psalms 119:86 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amri zako zote ni za kuaminika; unisaidie, kwa sababu watu wananishtaki bila sababu.

Psalms 119:86 in English

Psalms 119:86 · Berean Standard Bible

All Your commandments are faithful; I am persecuted without cause—help me!

Context

84Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini? Ni lini utawaadhibu washtaki wangu? 85Wenye majivuno wananichimbia mashimo, kinyume na sheria yako. 86Amri zako zote ni za kuaminika; unisaidie, kwa sababu watu wananishtaki bila sababu. 87Walikaribia kabisa kunifuta kutoka uso wa dunia, lakini sijaacha mausia yako. 88Yahifadhi maisha yangu sawasawa na upendo wako, nami nitatii sheria za kinywa chako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.