Native Bible

Psalms 119:87 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walikaribia kabisa kunifuta kutoka uso wa dunia, lakini sijaacha mausia yako.

Psalms 119:87 in English

Psalms 119:87 · Berean Standard Bible

They almost wiped me from the earth, but I have not forsaken Your precepts.

Context

85Wenye majivuno wananichimbia mashimo, kinyume na sheria yako. 86Amri zako zote ni za kuaminika; unisaidie, kwa sababu watu wananishtaki bila sababu. 87Walikaribia kabisa kunifuta kutoka uso wa dunia, lakini sijaacha mausia yako. 88Yahifadhi maisha yangu sawasawa na upendo wako, nami nitatii sheria za kinywa chako. 89Ee Bwana, neno lako ni la milele, linasimama imara mbinguni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.