Native Bible

Psalms 119:84 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini? Ni lini utawaadhibu washtaki wangu?

Psalms 119:84 in English

Psalms 119:84 · Berean Standard Bible

How many days must Your servant wait?* When will You execute judgment on my persecutors?

Context

82Macho yangu yamefifia, nikingoja ahadi yako; ninasema, “Utanifajiri lini?” 83Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi, bado sijasahau maagizo yako. 84Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini? Ni lini utawaadhibu washtaki wangu? 85Wenye majivuno wananichimbia mashimo, kinyume na sheria yako. 86Amri zako zote ni za kuaminika; unisaidie, kwa sababu watu wananishtaki bila sababu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.