Native Bible

Psalms 119:82 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Macho yangu yamefifia, nikingoja ahadi yako; ninasema, “Utanifajiri lini?”

Psalms 119:82 in English

Psalms 119:82 · Berean Standard Bible

My eyes fail, looking for Your promise; I ask, “When will You comfort me?”

Context

80Moyo wangu usiwe na lawama katika kutii maagizo yako, ili nisiaibishwe. 81Nafsi yangu inazimia kwa kutamani wokovu wako, lakini nimeweka tumaini langu katika neno lako. 82Macho yangu yamefifia, nikingoja ahadi yako; ninasema, “Utanifajiri lini?” 83Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi, bado sijasahau maagizo yako. 84Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini? Ni lini utawaadhibu washtaki wangu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.