Native Bible

Psalms 119:80 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wangu usiwe na lawama katika kutii maagizo yako, ili nisiaibishwe.

Psalms 119:80 in English

Psalms 119:80 · Berean Standard Bible

May my heart be blameless in Your statutes, that I may not be put to shame.

Context

78Wenye majivuno na waaibishwe kwa kunikosea mimi bila sababu, lakini mimi nitatafakari juu ya mausia yako. 79Wale wakuchao na wanigeukie mimi, hao ambao wanazielewa sheria zako. 80Moyo wangu usiwe na lawama katika kutii maagizo yako, ili nisiaibishwe. 81Nafsi yangu inazimia kwa kutamani wokovu wako, lakini nimeweka tumaini langu katika neno lako. 82Macho yangu yamefifia, nikingoja ahadi yako; ninasema, “Utanifajiri lini?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.