Native Bible

Psalms 119:79 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wakuchao na wanigeukie mimi, hao ambao wanazielewa sheria zako.

Psalms 119:79 in English

Psalms 119:79 · Berean Standard Bible

May those who fear You turn to me, those who know Your testimonies.

Context

77Huruma yako na inijie ili nipate kuishi, kwa kuwa naifurahia sheria yako. 78Wenye majivuno na waaibishwe kwa kunikosea mimi bila sababu, lakini mimi nitatafakari juu ya mausia yako. 79Wale wakuchao na wanigeukie mimi, hao ambao wanazielewa sheria zako. 80Moyo wangu usiwe na lawama katika kutii maagizo yako, ili nisiaibishwe. 81Nafsi yangu inazimia kwa kutamani wokovu wako, lakini nimeweka tumaini langu katika neno lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.