Native Bible

Psalms 119:77 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huruma yako na inijie ili nipate kuishi, kwa kuwa naifurahia sheria yako.

Psalms 119:77 in English

Psalms 119:77 · Berean Standard Bible

May Your compassion come to me, that I may live, for Your law is my delight.

Context

75Ee Bwana, ninajua kwamba sheria zako ni za haki, katika uaminifu wako umeniadhibu. 76Upendo wako usiokoma uwe faraja yangu, sawasawa na ahadi yako kwa mtumishi wako. 77Huruma yako na inijie ili nipate kuishi, kwa kuwa naifurahia sheria yako. 78Wenye majivuno na waaibishwe kwa kunikosea mimi bila sababu, lakini mimi nitatafakari juu ya mausia yako. 79Wale wakuchao na wanigeukie mimi, hao ambao wanazielewa sheria zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.