Zaburi 119:75
Psalms 119:75 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, ninajua kwamba sheria zako ni za haki, katika uaminifu wako umeniadhibu.
Psalms 119:75 in English
Psalms 119:75 · Berean Standard Bible
I know, O LORD, that Your judgments are righteous, and that in faithfulness You have afflicted me.
Context
73Mikono yako ilinifanya na kuniumba,
nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako. 74Wakuchao wafurahie wanaponiona,
kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika neno lako. 75Ee Bwana, ninajua kwamba sheria zako ni za haki,
katika uaminifu wako umeniadhibu. 76Upendo wako usiokoma uwe faraja yangu,
sawasawa na ahadi yako kwa mtumishi wako. 77Huruma yako na inijie ili nipate kuishi,
kwa kuwa naifurahia sheria yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.