Zaburi 119:73
Psalms 119:73 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mikono yako ilinifanya na kuniumba, nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako.
Psalms 119:73 in English
Psalms 119:73 · Berean Standard Bible
Your hands have made me and fashioned me; give me understanding to learn Your commandments.
Context
71Ilikuwa vyema mimi kupata shida
ili nipate kujifunza maagizo yako. 72Sheria inayotoka kinywani mwako ina thamani kubwa kwangu
kuliko maelfu ya vipande vya fedha na dhahabu. 73Mikono yako ilinifanya na kuniumba,
nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako. 74Wakuchao wafurahie wanaponiona,
kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika neno lako. 75Ee Bwana, ninajua kwamba sheria zako ni za haki,
katika uaminifu wako umeniadhibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.