Native Bible

Psalms 119:72 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sheria inayotoka kinywani mwako ina thamani kubwa kwangu kuliko maelfu ya vipande vya fedha na dhahabu.

Psalms 119:72 in English

Psalms 119:72 · Berean Standard Bible

The law from Your mouth is more precious to me than thousands of pieces of gold and silver.

Context

70Mioyo yao ni katili na migumu, bali mimi napendezwa na sheria yako. 71Ilikuwa vyema mimi kupata shida ili nipate kujifunza maagizo yako. 72Sheria inayotoka kinywani mwako ina thamani kubwa kwangu kuliko maelfu ya vipande vya fedha na dhahabu. 73Mikono yako ilinifanya na kuniumba, nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako. 74Wakuchao wafurahie wanaponiona, kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika neno lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.