Native Bible

Psalms 119:71 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ilikuwa vyema mimi kupata shida ili nipate kujifunza maagizo yako.

Psalms 119:71 in English

Psalms 119:71 · Berean Standard Bible

It was good for me to be afflicted, that I might learn Your statutes.

Context

69Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo, nitafuata mausia yako kwa moyo wangu wote. 70Mioyo yao ni katili na migumu, bali mimi napendezwa na sheria yako. 71Ilikuwa vyema mimi kupata shida ili nipate kujifunza maagizo yako. 72Sheria inayotoka kinywani mwako ina thamani kubwa kwangu kuliko maelfu ya vipande vya fedha na dhahabu. 73Mikono yako ilinifanya na kuniumba, nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.