Zaburi 119:69
Psalms 119:69 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo, nitafuata mausia yako kwa moyo wangu wote.
Psalms 119:69 in English
Psalms 119:69 · Berean Standard Bible
Though the arrogant have smeared me with lies, I keep Your precepts with all my heart.
Context
67Kabla sijapata shida nilipotea njia,
lakini sasa ninalitii neno lako. 68Wewe ni mwema, unalotenda ni jema,
nifundishe maagizo yako. 69Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo,
nitafuata mausia yako kwa moyo wangu wote. 70Mioyo yao ni katili na migumu,
bali mimi napendezwa na sheria yako. 71Ilikuwa vyema mimi kupata shida
ili nipate kujifunza maagizo yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.