Native Bible

Psalms 119:67 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kabla sijapata shida nilipotea njia, lakini sasa ninalitii neno lako.

Psalms 119:67 in English

Psalms 119:67 · Berean Standard Bible

Before I was afflicted, I went astray; but now I keep Your word.

Context

65Mtendee wema mtumishi wako Ee Bwana, sawasawa na neno lako. 66Nifundishe maarifa na uamuzi mzuri, kwa kuwa ninaamini amri zako. 67Kabla sijapata shida nilipotea njia, lakini sasa ninalitii neno lako. 68Wewe ni mwema, unalotenda ni jema, nifundishe maagizo yako. 69Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo, nitafuata mausia yako kwa moyo wangu wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.