Zaburi 119:66
Psalms 119:66 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nifundishe maarifa na uamuzi mzuri, kwa kuwa ninaamini amri zako.
Psalms 119:66 in English
Psalms 119:66 · Berean Standard Bible
Teach me good judgment and knowledge, for I believe in Your commandments.
Context
64Ee Bwana, dunia imejaa upendo wako,
nifundishe maagizo yako. 65Mtendee wema mtumishi wako
Ee Bwana, sawasawa na neno lako. 66Nifundishe maarifa na uamuzi mzuri,
kwa kuwa ninaamini amri zako. 67Kabla sijapata shida nilipotea njia,
lakini sasa ninalitii neno lako. 68Wewe ni mwema, unalotenda ni jema,
nifundishe maagizo yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.