Native Bible

Psalms 119:64 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, dunia imejaa upendo wako, nifundishe maagizo yako.

Psalms 119:64 in English

Psalms 119:64 · Berean Standard Bible

The earth is filled with Your loving devotion, O LORD; teach me Your statutes.

Context

62Usiku wa manane ninaamka kukushukuru kwa sababu ya sheria zako za haki. 63Mimi ni rafiki kwa wale wote wakuchao, kwa wote wanaofuata mausia yako. 64Ee Bwana, dunia imejaa upendo wako, nifundishe maagizo yako. 65Mtendee wema mtumishi wako Ee Bwana, sawasawa na neno lako. 66Nifundishe maarifa na uamuzi mzuri, kwa kuwa ninaamini amri zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.