Zaburi 119:65
Psalms 119:65 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtendee wema mtumishi wako Ee Bwana, sawasawa na neno lako.
Psalms 119:65 in English
Psalms 119:65 · Berean Standard Bible
You are good to Your servant, O LORD, according to Your word.
Context
63Mimi ni rafiki kwa wale wote wakuchao,
kwa wote wanaofuata mausia yako. 64Ee Bwana, dunia imejaa upendo wako,
nifundishe maagizo yako. 65Mtendee wema mtumishi wako
Ee Bwana, sawasawa na neno lako. 66Nifundishe maarifa na uamuzi mzuri,
kwa kuwa ninaamini amri zako. 67Kabla sijapata shida nilipotea njia,
lakini sasa ninalitii neno lako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.