Native Bible

Psalms 119:68 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe ni mwema, unalotenda ni jema, nifundishe maagizo yako.

Psalms 119:68 in English

Psalms 119:68 · Berean Standard Bible

You are good, and You do what is good; teach me Your statutes.

Context

66Nifundishe maarifa na uamuzi mzuri, kwa kuwa ninaamini amri zako. 67Kabla sijapata shida nilipotea njia, lakini sasa ninalitii neno lako. 68Wewe ni mwema, unalotenda ni jema, nifundishe maagizo yako. 69Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo, nitafuata mausia yako kwa moyo wangu wote. 70Mioyo yao ni katili na migumu, bali mimi napendezwa na sheria yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.