Zaburi 119:78
Psalms 119:78 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wenye majivuno na waaibishwe kwa kunikosea mimi bila sababu, lakini mimi nitatafakari juu ya mausia yako.
Psalms 119:78 in English
Psalms 119:78 · Berean Standard Bible
May the arrogant be put to shame for subverting me with a lie; I will meditate on Your precepts.
Context
76Upendo wako usiokoma uwe faraja yangu,
sawasawa na ahadi yako kwa mtumishi wako. 77Huruma yako na inijie ili nipate kuishi,
kwa kuwa naifurahia sheria yako. 78Wenye majivuno na waaibishwe kwa kunikosea mimi bila sababu,
lakini mimi nitatafakari juu ya mausia yako. 79Wale wakuchao na wanigeukie mimi,
hao ambao wanazielewa sheria zako. 80Moyo wangu usiwe na lawama katika kutii maagizo yako,
ili nisiaibishwe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.