Native Bible

Psalms 119:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninafurahia kufuata sheria zako kama mtu afurahiaye mali nyingi.

Psalms 119:14 in English

Psalms 119:14 · Berean Standard Bible

I rejoice in the way of Your testimonies as much as in all riches.

Context

12Sifa ni zako, Ee Bwana, nifundishe maagizo yako. 13Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote zinazotoka katika kinywa chako. 14Ninafurahia kufuata sheria zako kama mtu afurahiaye mali nyingi. 15Ninatafakari maagizo yako na kuziangalia njia zako. 16Ninafurahia maagizo yako, wala sitalipuuza neno lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.