Native Bible

Psalms 119:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninatafakari maagizo yako na kuziangalia njia zako.

Psalms 119:15 in English

Psalms 119:15 · Berean Standard Bible

I will meditate on Your precepts and regard Your ways.

Context

13Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote zinazotoka katika kinywa chako. 14Ninafurahia kufuata sheria zako kama mtu afurahiaye mali nyingi. 15Ninatafakari maagizo yako na kuziangalia njia zako. 16Ninafurahia maagizo yako, wala sitalipuuza neno lako. 17Mtendee mema mtumishi wako, nami nitaishi; nitalitii neno lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.