Native Bible

Psalms 119:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote zinazotoka katika kinywa chako.

Psalms 119:13 in English

Psalms 119:13 · Berean Standard Bible

With my lips I proclaim all the judgments of Your mouth.

Context

11Nimelificha neno lako moyoni mwangu ili nisikutende dhambi. 12Sifa ni zako, Ee Bwana, nifundishe maagizo yako. 13Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote zinazotoka katika kinywa chako. 14Ninafurahia kufuata sheria zako kama mtu afurahiaye mali nyingi. 15Ninatafakari maagizo yako na kuziangalia njia zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.