Zaburi 119:11
Psalms 119:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimelificha neno lako moyoni mwangu ili nisikutende dhambi.
Psalms 119:11 in English
Psalms 119:11 · Berean Standard Bible
I have hidden Your word in my heart that I might not sin against You.
Context
9Kijana aifanye njia yake kuwa safi jinsi gani?
Ni kwa kutii, akilifuata neno lako. 10Ninakutafuta kwa moyo wangu wote,
usiniache niende mbali na amri zako. 11Nimelificha neno lako moyoni mwangu
ili nisikutende dhambi. 12Sifa ni zako, Ee Bwana,
nifundishe maagizo yako. 13Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote
zinazotoka katika kinywa chako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.