Zaburi 119:9
Psalms 119:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kijana aifanye njia yake kuwa safi jinsi gani? Ni kwa kutii, akilifuata neno lako.
Psalms 119:9 in English
Psalms 119:9 · Berean Standard Bible
How can a young man keep his way pure? By guarding it according to Your word.
Context
7Nitakusifu kwa moyo mnyofu
ninapojifunza sheria zako za haki. 8Nitayatii maagizo yako;
usiniache kabisa. 9Kijana aifanye njia yake kuwa safi jinsi gani?
Ni kwa kutii, akilifuata neno lako. 10Ninakutafuta kwa moyo wangu wote,
usiniache niende mbali na amri zako. 11Nimelificha neno lako moyoni mwangu
ili nisikutende dhambi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.