Native Bible

Psalms 119:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitakusifu kwa moyo mnyofu ninapojifunza sheria zako za haki.

Psalms 119:7 in English

Psalms 119:7 · Berean Standard Bible

I will praise You with an upright heart when I learn Your righteous judgments.

Context

5Laiti mwenendo wangu ungekuwa imara katika kuyatii maagizo yako! 6Hivyo mimi sitaaibishwa ninapozingatia amri zako zote. 7Nitakusifu kwa moyo mnyofu ninapojifunza sheria zako za haki. 8Nitayatii maagizo yako; usiniache kabisa. 9Kijana aifanye njia yake kuwa safi jinsi gani? Ni kwa kutii, akilifuata neno lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.