Native Bible

Psalms 119:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Laiti mwenendo wangu ungekuwa imara katika kuyatii maagizo yako!

Psalms 119:5 in English

Psalms 119:5 · Berean Standard Bible

Oh, that my ways were committed to keeping Your statutes!

Context

3Wasiofanya lolote lililo baya, wanaoenenda katika njia zake. 4Umetoa maagizo yako ili tuyatii kwa ukamilifu. 5Laiti mwenendo wangu ungekuwa imara katika kuyatii maagizo yako! 6Hivyo mimi sitaaibishwa ninapozingatia amri zako zote. 7Nitakusifu kwa moyo mnyofu ninapojifunza sheria zako za haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.