Zaburi 119:3
Psalms 119:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wasiofanya lolote lililo baya, wanaoenenda katika njia zake.
Psalms 119:3 in English
Psalms 119:3 · Berean Standard Bible
They do no iniquity; they walk in His ways.
Context
1Heri wale walio waadilifu katika njia zao,
wanaoenenda katika sheria ya Bwana. 2Heri wale wanaozishika shuhuda zake,
wamtafutao kwa moyo wao wote. 3Wasiofanya lolote lililo baya,
wanaoenenda katika njia zake. 4Umetoa maagizo yako
ili tuyatii kwa ukamilifu. 5Laiti mwenendo wangu ungekuwa imara
katika kuyatii maagizo yako!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.