Native Bible

Psalms 119:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri wale walio waadilifu katika njia zao, wanaoenenda katika sheria ya Bwana.

Psalms 119:1 in English

Psalms 119:1 · Berean Standard Bible

Blessed * are those whose way is blameless, who walk in the Law of the LORD.

Context

1Heri wale walio waadilifu katika njia zao, wanaoenenda katika sheria ya Bwana. 2Heri wale wanaozishika shuhuda zake, wamtafutao kwa moyo wao wote. 3Wasiofanya lolote lililo baya, wanaoenenda katika njia zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.