Native Bible

Psalms 119:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sifa ni zako, Ee Bwana, nifundishe maagizo yako.

Psalms 119:12 in English

Psalms 119:12 · Berean Standard Bible

Blessed are You, O LORD; teach me Your statutes.

Context

10Ninakutafuta kwa moyo wangu wote, usiniache niende mbali na amri zako. 11Nimelificha neno lako moyoni mwangu ili nisikutende dhambi. 12Sifa ni zako, Ee Bwana, nifundishe maagizo yako. 13Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote zinazotoka katika kinywa chako. 14Ninafurahia kufuata sheria zako kama mtu afurahiaye mali nyingi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.