Zaburi 119:16
Psalms 119:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninafurahia maagizo yako, wala sitalipuuza neno lako.
Psalms 119:16 in English
Psalms 119:16 · Berean Standard Bible
I will delight in Your statutes; I will not forget Your word.
Context
14Ninafurahia kufuata sheria zako
kama mtu afurahiaye mali nyingi. 15Ninatafakari maagizo yako
na kuziangalia njia zako. 16Ninafurahia maagizo yako,
wala sitalipuuza neno lako. 17Mtendee mema mtumishi wako, nami nitaishi;
nitalitii neno lako. 18Yafungue macho yangu nipate kuona
mambo ya ajabu katika sheria yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.