Native Bible

Psalms 118:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu.

Psalms 118:23 in English

Psalms 118:23 · Berean Standard Bible

This is from the LORD, and it is marvelous in our eyes.*

Context

21Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu. 22Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni. 23Bwana ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu. 24Hii ndiyo siku Bwana aliyoifanya, tushangilie na kufurahi ndani yake. 25Ee Bwana, tuokoe, Ee Bwana, utujalie mafanikio.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.