Native Bible

Psalms 118:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni.

Psalms 118:22 in English

Psalms 118:22 · Berean Standard Bible

The stone the builders rejected has become the cornerstone.*

Context

20Hili ni lango la Bwana ambalo wenye haki wanaweza kuliingia. 21Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu. 22Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni. 23Bwana ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu. 24Hii ndiyo siku Bwana aliyoifanya, tushangilie na kufurahi ndani yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.