Native Bible

Psalms 118:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hili ni lango la Bwana ambalo wenye haki wanaweza kuliingia.

Psalms 118:20 in English

Psalms 118:20 · Berean Standard Bible

This is the gate of the LORD; the righteous shall enter through it.

Context

18Bwana ameniadhibu vikali, lakini hakuniacha nife. 19Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru Bwana. 20Hili ni lango la Bwana ambalo wenye haki wanaweza kuliingia. 21Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu. 22Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.