Native Bible

Psalms 118:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu.

Psalms 118:21 in English

Psalms 118:21 · Berean Standard Bible

I will give You thanks, for You have answered me, and You have become my salvation.

Context

19Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru Bwana. 20Hili ni lango la Bwana ambalo wenye haki wanaweza kuliingia. 21Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu. 22Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni. 23Bwana ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.