Zaburi 118:19
Psalms 118:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru Bwana.
Psalms 118:19 in English
Psalms 118:19 · Berean Standard Bible
Open to me the gates of righteousness, that I may enter and give thanks to the LORD.
Context
17Sitakufa, bali nitaishi,
nami nitatangaza yale Bwana aliyoyatenda. 18Bwana ameniadhibu vikali,
lakini hakuniacha nife. 19Nifungulie malango ya haki,
nami nitaingia na kumshukuru Bwana. 20Hili ni lango la Bwana
ambalo wenye haki wanaweza kuliingia. 21Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu,
umekuwa wokovu wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.