Native Bible

Psalms 118:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sitakufa, bali nitaishi, nami nitatangaza yale Bwana aliyoyatenda.

Psalms 118:17 in English

Psalms 118:17 · Berean Standard Bible

I will not die, but I will live and proclaim what the LORD has done.

Context

15Sauti za shangwe na ushindi zinavuma hemani mwa wenye haki: “Mkono wa kuume wa Bwana umetenda mambo makuu! 16Mkono wa kuume wa Bwana umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa Bwana umetenda mambo makuu!” 17Sitakufa, bali nitaishi, nami nitatangaza yale Bwana aliyoyatenda. 18Bwana ameniadhibu vikali, lakini hakuniacha nife. 19Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.