Native Bible

Psalms 118:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkono wa kuume wa Bwana umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa Bwana umetenda mambo makuu!”

Psalms 118:16 in English

Psalms 118:16 · Berean Standard Bible

The right hand of the LORD is exalted! The right hand of the LORD performs with valor!”

Context

14Bwana ni nguvu yangu na wimbo wangu, yeye amefanyika wokovu wangu. 15Sauti za shangwe na ushindi zinavuma hemani mwa wenye haki: “Mkono wa kuume wa Bwana umetenda mambo makuu! 16Mkono wa kuume wa Bwana umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa Bwana umetenda mambo makuu!” 17Sitakufa, bali nitaishi, nami nitatangaza yale Bwana aliyoyatenda. 18Bwana ameniadhibu vikali, lakini hakuniacha nife.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.