Zaburi 118:24
Psalms 118:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hii ndiyo siku Bwana aliyoifanya, tushangilie na kufurahi ndani yake.
Psalms 118:24 in English
Psalms 118:24 · Berean Standard Bible
This is the day that the LORD has made; we will rejoice and be glad in it.
Context
22Jiwe walilolikataa waashi,
limekuwa jiwe kuu la pembeni. 23Bwana ametenda hili,
nalo ni la kushangaza machoni petu. 24Hii ndiyo siku Bwana aliyoifanya,
tushangilie na kufurahi ndani yake. 25Ee Bwana, tuokoe,
Ee Bwana, utujalie mafanikio. 26Heri yule ajaye kwa jina la Bwana.
Kutoka nyumba ya Bwana tunakubariki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.