Native Bible

Psalms 118:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri yule ajaye kwa jina la Bwana. Kutoka nyumba ya Bwana tunakubariki.

Psalms 118:26 in English

Psalms 118:26 · Berean Standard Bible

Blessed is he who comes in the name of the LORD.* From the house of the LORD we bless you.

Context

24Hii ndiyo siku Bwana aliyoifanya, tushangilie na kufurahi ndani yake. 25Ee Bwana, tuokoe, Ee Bwana, utujalie mafanikio. 26Heri yule ajaye kwa jina la Bwana. Kutoka nyumba ya Bwana tunakubariki. 27Bwana ndiye Mungu, naye ametuangazia nuru yake. Mkiwa na matawi mkononi, unganeni kwenye maandamano ya sikukuu hadi kwenye pembe za madhabahu. 28Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru, wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.