Zaburi 118:27
Psalms 118:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ndiye Mungu, naye ametuangazia nuru yake. Mkiwa na matawi mkononi, unganeni kwenye maandamano ya sikukuu hadi kwenye pembe za madhabahu.
Psalms 118:27 in English
Psalms 118:27 · Berean Standard Bible
The LORD is God; He has made His light to shine upon us. Bind the festal sacrifice with cords to the horns of the altar.*
Context
25Ee Bwana, tuokoe,
Ee Bwana, utujalie mafanikio. 26Heri yule ajaye kwa jina la Bwana.
Kutoka nyumba ya Bwana tunakubariki. 27Bwana ndiye Mungu,
naye ametuangazia nuru yake.
Mkiwa na matawi mkononi,
unganeni kwenye maandamano ya sikukuu
hadi kwenye pembe za madhabahu. 28Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru,
wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza. 29Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema;
upendo wake wadumu milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.