Native Bible

Psalms 118:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru, wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza.

Psalms 118:28 in English

Psalms 118:28 · Berean Standard Bible

You are my God, and I will give You thanks. You are my God, and I will exalt You.

Context

26Heri yule ajaye kwa jina la Bwana. Kutoka nyumba ya Bwana tunakubariki. 27Bwana ndiye Mungu, naye ametuangazia nuru yake. Mkiwa na matawi mkononi, unganeni kwenye maandamano ya sikukuu hadi kwenye pembe za madhabahu. 28Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru, wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza. 29Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.