Zaburi 118:25
Psalms 118:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, tuokoe, Ee Bwana, utujalie mafanikio.
Psalms 118:25 in English
Psalms 118:25 · Berean Standard Bible
O LORD, save us, we pray.* We beseech You, O LORD, cause us to prosper!
Context
23Bwana ametenda hili,
nalo ni la kushangaza machoni petu. 24Hii ndiyo siku Bwana aliyoifanya,
tushangilie na kufurahi ndani yake. 25Ee Bwana, tuokoe,
Ee Bwana, utujalie mafanikio. 26Heri yule ajaye kwa jina la Bwana.
Kutoka nyumba ya Bwana tunakubariki. 27Bwana ndiye Mungu,
naye ametuangazia nuru yake.
Mkiwa na matawi mkononi,
unganeni kwenye maandamano ya sikukuu
hadi kwenye pembe za madhabahu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.