Native Bible

Psalms 116:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Niliamini, kwa hiyo nilisema, “Mimi nimeteseka sana.”

Psalms 116:10 in English

Psalms 116:10 · Berean Standard Bible

I believed, therefore I said,* “I am greatly afflicted.”

Context

8Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa, 9ili niweze kutembea mbele za Bwana, katika nchi ya walio hai. 10Niliamini, kwa hiyo nilisema, “Mimi nimeteseka sana.” 11Katika taabu yangu nilisema, “Wanadamu wote ni waongo.” 12Nimrudishie Bwana nini kwa wema wake wote alionitendea?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.