Native Bible

Psalms 116:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimrudishie Bwana nini kwa wema wake wote alionitendea?

Psalms 116:12 in English

Psalms 116:12 · Berean Standard Bible

How can I repay the LORD for all His goodness to me?

Context

10Niliamini, kwa hiyo nilisema, “Mimi nimeteseka sana.” 11Katika taabu yangu nilisema, “Wanadamu wote ni waongo.” 12Nimrudishie Bwana nini kwa wema wake wote alionitendea? 13Nitakiinua kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana. 14Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana mbele za watu wake wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.