Native Bible

Psalms 116:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika taabu yangu nilisema, “Wanadamu wote ni waongo.”

Psalms 116:11 in English

Psalms 116:11 · Berean Standard Bible

In my alarm I said, “All men are liars!”

Context

9ili niweze kutembea mbele za Bwana, katika nchi ya walio hai. 10Niliamini, kwa hiyo nilisema, “Mimi nimeteseka sana.” 11Katika taabu yangu nilisema, “Wanadamu wote ni waongo.” 12Nimrudishie Bwana nini kwa wema wake wote alionitendea? 13Nitakiinua kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.